Is this your app? Claim this page to add your own description, links and contact info. It's free. →

Ibada

Ibada at Mac App Store analyse

Gideon Msambwa
9,648 ratings · Power index: 190
Version 2.1
Size 50.56 Mb
Updated 9 years ago
Released 25 Jun 2015

How do you feel about this app?

Screenshots

Description

"IBADA" Ni programu tumishi inayokuwezesha kusoma neno la Mungu na kukusogeza karibu na Mungu wako kupitia: Kesha la Asubuhi, Muongozo wa Kujifunza Biblia, Roho ya Unabii na Usomaji wa Biblia kwa mpango. Programu hii ina vipengele vifuatavyo: 1. Kesha la Asubuhi - Utasoma kesha la asubuhi kila siku - Utasikiliza sauti ya kesha kila siku 2. Muongozo wa Kujifunza Biblia - Utasoma lesoni yako kila siku - Utaweza kuchagua somo lolote kati ya masomo 13 ya robo - Utasikiliza sauti ya somo la wiki moja - Utatazama video za mjadala wa lesoni kutoka nchi mbalimbali - Utaweza kubofya fungu lolote la biblia na kusoma hapohapo - Utasoma maelezo ya Mwalimu na Muhtasari wa kujifunza somo la wiki moja (This is auto-renewing subscription - utapata kwa njia ya kuchangia kwa kila miezi mitatu kiasi cha $0.99, na utapewa mwezi mmoja wa majaribio, na utakuwa na uwezo wa kujiondoa pale utakapopenda) 3. Roho ya Unabii - Utasoma sura moja kitabu cha roho ya unabii kwa wiki moja 4. Usomaji wa Biblia kwa mpango - Utasoma sura moja ya biblia kila siku 5. Information - Utawasiliana nasi kwa kutumia barua pepe - Utatoa maoni juu ya Kiwango cha programu - Utapata nafasi ya kuchangia fedha za kuendesha programu hii kupitia Bank na M-Pesa - Utaweka sauti ya kukumbusha (Alarm) muda wa kusoma Neno la Mungu - Utaweza kufuta Mafaili ya Sauti uliyopakua wakati unasoma Kesha la Asubuhi au Muongozo wa kujifunza Biblia - Utaona Programu nyingine tulizonazo Ungana nasi kwa kupakua programu hii uweze kuwa na IBADA yenye maana mbele za Mungu wako.

Estimates

Monthly Downloads > 4.18k
Est. Revenue ~ $1.71k

Availability

Devices

iPhone4 iPad2Wifi iPad23G iPhone4S iPadThirdGen iPadThirdGen4G iPhone5 iPodTouchFifthGen iPadFourthGen iPadFourthGen4G iPadMini iPadMini4G iPhone5c iPhone5s iPadAir iPadAirCellular iPadMiniRetina iPadMiniRetinaCellular iPhone6 iPhone6Plus iPadAir2 iPadAir2Cellular iPadMini3 iPadMini3Cellular iPodTouchSixthGen iPhone6s iPhone6sPlus iPadMini4 iPadMini4Cellular iPadPro iPadProCellular iPadPro97 iPadPro97Cellular iPhoneSE iPhone7 iPhone7Plus iPad611 iPad612 iPad71 iPad72 iPad73 iPad74 iPhone8 iPhone8Plus iPhoneX

Pricing by country

Country Price
Canada free
China free
France free
Germany free
Italy free
Netherlands free
Portugal free
Spain free
Poland free
UK free
India free
Japan free
Poland free
Russia free
Turkey free
USA free
Korea, Republic Of free
Ukraine free