Is this your app? Claim this page to add your own description, links and contact info. It's free. →
Version
1.2
Size
60.83 Mb
Updated
5 years ago
Released
22 Dec 2019
Description
VUGA App ni Application maalumu kwa wahasibu wanaotaka kupata CPA/ACCA.
Application hii itakusaidia kusoma kwa kukupatia nyezo mbalimbali kama vitabu, video na test za masomo mbalimbali.
Mtumiaji atajifunza kuanzia Foundation level hadi Final Level. Pia mtumiaji atapata muda wa kufanya test kwa kila somo.
Kituo cha VUGA ARUSHA, ndicho kilichokuwa cha kwanza Tanzania nzima katika matokeo ya CPA mwezi May 2019.
Karibu sana na upakue application ya VUGA